Hizi ndio silaha na vitu vilivyokamatwa na Polisi vikihusishwa na uvamizi wa Kituo cha Polisi Sitakishari.. (Picha)
Waandishi wa Habari.
Imetufikia ripoti kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar kuhusu idadi ya watu waliokamatwa na wanahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuhusishwa na tukio la uvamizi wa Kituo cha Polisi cjha Stakishari, Dar.
Vitu vyote vilivyopatikana vimekutwa na Polisi eneo la Mkuranga vikiwa vimefichwa ndani ya shimo.
Tayari nimepata picha kutoka Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, silaha zilizopatikana zimeoneshwa hapa.. kulikokutwa hizo silaha kumekutwa na vitu vingine pia, ikiwemo pesa Milioni 170.
No comments:
Post a Comment