Friday, 26 June 2015

TATOO YA WEMA SEPETU MGONGONI MWA KAJALA...IS ITI STILL THERE?? AU ISHAPIGWA PASI??



Wema Sepetu na Kajala Masanja Walikuwa Marafiki wa kufa mtu , baada ya Wema Kumlipia Kajala Mil 13 ili aachiwe kutoka Gerezani Kajala alijichora Tattoo mgongoni mwake yenye jina la Wema , Sasa am just wondering kama hiyo tattoo bado anayo baada ya urafiki wao kuvunjika kwa muda mrefu?

Hii hapa ndio ilikuwa habari ya Kajala kujiweka Tattoo ..bonyeza Hapa:

No comments:

Post a Comment