Monday, 20 July 2015

Real Madrid yagonga ukuta kwa De Gea....bofya ujionee yaliyo jili katika sakata hili la kuuzwa kwake...


David de Gea Manchester United

Usajili wa kipa Mhispania David De Gea kuelekea klabu ya Real Madrid kwa sasa inaonekana kama huenda usitokee tena hivi karibuni baada ya klabu hii ya Hispania na wenzao wa Manchester United kushindwa kufikia makubaliano .
Manchester United imegoma kabisa kufanya mazungumzo na Real kuhusiana na De Gea kutokana na Wahispania hao kushindwa kutimiza masharti ambayo United imeyaweka katika mazungumzo hayo .
United imewaambia Real kuwa endapo wanamtaka De Gea basi wakubali kumruhusu beki Mkongwe Sergio Ramos ajiunge na United au Gareth Bale jambo ambalo vijana hawa wa Florentino Perez amelikataa katakata.
Tayari Real Madrid imesajili kipa Kiko Castilla ambaye amejiunga tokea Real Sociedad huku Keylor Navas akichukua mikoba ya kipa namba moja baada ya gwiji Iker Casillas kuondoka ambapo amejiunga na Fc Porto .
Real Madrid kwa muda mrefu wamekuwa wakimtaka David De Gea ambaye wamepanga kumfanya mrithi rasmi wa Iker Casillas huku United ikigoma kabisa kuzungumza dili yoyote inayomhusu De Gea.
Vyanzo vingine vya habari vimesema kuwa Real Madrid inajiandaa kusubiri mpaka mwishoni mwa msimu huu mpya wakati ambapo mkataba wa De Gea utakapokuwa unamalizika na kumfanya kipa huyu kuwa mchezaji huru hali itakayowafanya Real wamsajili bure .

Wednesday, 15 July 2015

BEEF WEMA SEPETU NA AUNTY EZEKIEL NDIO KWANZAAA LAPAMBA MOTO BOFYA UJIONEE WEMA AKIONGEA KWA JAZBA,,



URAFIKI wa mashaka! Mastaa wawili wa filamu Bongo, ambao walikuwa mashosti  kwa muda mrefu kabla ya kidudumtu kuingilia kati hivi karibuni na kusuluhishwa, hivi sasa bifu kati yao limeanza upya, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Chanzo chetu ambacho hakipepesi macho kinasema tangu Aunt ajifungue mtoto, Wema hakuwahi kukanyaga nyumbani kwake kwa ajili ya kumuona, kutoa hongera au hata pole kwa rafiki yake huyo, isipokuwa wamekuwa wakichati kupitia simu za mikononi, kitu ambacho si sahihi.

Lakini kali zaidi, ni kitendo cha Wema kushindwa kuhudhuria sherehe ya kutimiza siku 40 tangu azaliwe mtoto huyo, Cookie, kitu kilichomfanya mwenzake kumuondoa kabisa katika orodha ya marafiki zake.

“Yaani Aunt kipindi chote alimvumilia akijua huenda yuko ‘bize’, lakini kwa kutofika kwenye siku hiyo muhimu, amemtoa kabisa akilini mwake,” kilisema.

Baada ya kupata habari hizo, gazeti hili lilimtafuta kwa njia ya simu Aunt ili kuthibitisha ubuyu huo, lakini akakubali tu juu ya kutohudhuria kwenye tukio hilo muhimu la mtoto wake, licha ya kuwa alimpa taarifa.

“Hakuja, lakini siwezi mlaumu sana, labda alikuwa na majukumu mengi, ukizingatia hivi sasa ana mambo ya ubunge,” alisema.

Wema hakuweza kupatikana baada ya simu yake kutopokelewa kwa muda wote alipopigiwa.

Mmmmmmmh JAMANI KUSINGE KUWA NA MAKE-UP...JIONEE PICHA20 ZA MWIMBAJI RAY C AKIWA NATURALLY BILA MAKE- UPS....

YUCK! See how Tanzanian singer RAY C looks without make-up

Monday, 13 July 2015

Schweinsteiger HATIMAYE NDANI YA MAN UNITED TAZAMA KIKOSI KIPYA CHA MAN U KATIKA MIFUMO MBALIMBALI.....









Where will Schweinsteiger fit in at Manchester United?







Where will Schweinsteiger fit in at Manchester United?
The 30-year-old midfielder has been reunited with Louis van Gaal, signing a three-year deal with the Red Devils - where might the Bayern Munich legend slot in at Old Trafford?
With Bastian Schweinsteiger having completed his move to Manchester United, supporters are already excited at the prospect of the former Bayern Munich man becoming a part of Louis van Gaal's midfield.

United have agreed a fee in the region of £12 million for the Bayern star, with the 30-year-old signing a three-year, £180,000-a-week deal with Van Gaal's side.

With the deal over the line, Goal looks at where Van Gaal may look to utilise the midfielder as he looks to claim Premier League title glory in the 2015-16 campaign...


SCHWEINSTEIGER ALONGSIDE MATA & HERRERA



Juan Mata and Ander Herrera struck up an excellent understanding as last season progressed but with the absence of Michael Carrick, United lacked that vital link from defence to midfield.

Schweinsteiger has the experience and the technical ability to plug that gap which allows Mata and Herrera to create further forward but would leaving Carrick, so influential for much of the last campaign, out of the side really be an option?


SCHWEINSTEIGER PAIRED WITH HERRERA IN A 3-4-3



If Van Gaal decides to go with a 3-4-3 (or 3-5-2, as he experimented with in the last campaign) next season, Herrera and Schweinsteiger could be the best central combination United possess.

When asked about signing a new deep-lying midfielder in May, Van Gaal confessed that his options are limited, aside from Carrick, and that he prefers Herrera in a more advanced midfield role.

"No.6 is a key player, yes. I have more key roles – the no.6 is just one of those key roles," said the United manager. "You have seen this season, for example, because Carrick is injured and I don't have another, I have to play with Herrera there. He did it very well, but it is not his speciality.

"I have played Wayne Rooney there also, but it is not his favoured position. I had to do this because I don't have another right-footed holding midfielder like Carrick. That is why it is a key role, but I cannot discuss other positions because then I show too much."


SCHWEINSTEIGER & MATA AHEAD OF CARRICK



Given his importance to United last term, it's unlikely that Carrick will find himself on the bench when fit next season.

With the 33-year-old taking up his anchoring role, it would allow Schweinsteiger and Mata to push further forward in order to support Memphis Depay, Wayne Rooney and Angel Di Maria - who could switch back to a right-wing spot after impressing in a similar role for Argentina at the Copa America earlier this summer.


SCHWEINSTEIGER & CARRICK HOLDING



A trio of Depay, Di Maria and Ashley Young presents a formidable counter-attacking unit that's filled with pace. Carrick and Schweinsteiger would be at the base which would allow the trio to flourish and link with Rooney in attack.

The presence of Carrick would also allow Schweinsteiger greater freedom to get involved in attacks, while Di Maria would be afforded further license to operate in more of a free role, which could see him at his most dangerous.

SCHWEINSTEIGER & HERRERA IN A 4-4-2



Could Memphis Depay form a strike partnership with Wayne Rooney? Van Gaal is short of options and hasn't ruled out the possibility of using the 21-year-old as a forward.

If the United boss opts to go with that pairing up front in a 4-4-2 system, Schweinsteiger and Herrera being flanked by Young and Di Maria looks to be a balanced midfield option.

DIAMOND AKILI KUMPENDA SANA WEMA AMETOA SABABU 3 KWANN HAMSAHAU WEMA...BOFYA UJIONEE SIRI NZITO YA MAPENZI YAO

 SASA NJIA YA KURUDIANA NYEUPEEE

STAA wa NANA , Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki Diamond.
Diamond Platnumz.

<<<NEXT>>>1

 

<<<NEXT 2>>>

<<<NEXT 3>>>

<<<NEXT 4<<

 <<<<NEXT 5>>

Saturday, 11 July 2015

REAL MADRID YAZIDI POROMOKA..WACHEZAJI WOTE WAANZAKIMBIA...CASILLAS AMUAKUFUNGASHA VILAGO VYAKE NA KUSAINI MKATABA MPYA PORTO.....

Casillas leaving Madrid for Porto

Iker Casillas: Real Madrid career ending
Iker Casillas: Real Madrid career ending


The Spanish club said on their official website that they had agreed a deal with Porto for their 34-year-old captain.
Casillas joined Real's youth academy in 1990 and has been with the club ever since, winning 17 major honours in that time.
Real saluted Casillas in a lengthy statement, referencing a "goodbye of a million sensations" and hailing him as their best-ever goalkeeper.
"We have agreed the transfer to the Portuguese club for Iker Casillas," Real said.
"For Real Madrid today is a day, before and above all, for an acknowledgement.
"This will not be one of the best goalkeepers at our club - it is the best goalkeeper in the history of Real Madrid and Spanish football.
"This is therefore a goodbye of a million sensations, full of hopes, dreams, sacrifices and wins.
"Iker Casillas has made our shield even bigger. He was our captain and has defended our goal for 25 years."
Casillas was a high-profile casualty of Jose Mourinho's reign at Real but returned to the side after the Portuguese left for Chelsea, winning the Champions League for a third time in 2014.
Time has now caught up with him in the Spanish capital, though.
"Iker has managed to become one of our main reference points and has earned the respect, admiration and affection of fans beyond colours and feelings," the Real statement continued.
"Iker is gone, but his example remains. His behaviour during the 725 matches played with our shirt shows the way to those who dream of being part of this team.

"Thanks, Iker, for everything. Thanks for being a symbol of the best in our history. You belong forever to the heart of Real Madrid."

Monday, 6 July 2015

HII SASA NI HATARII....WEMA SEPETU AKISOMA MANENO HAYA ALIYOYAANDIKA LINNAH KWENYE PICHA HII AKIWA NA MPENZI WAKE MPYA >>>>HAKIKA ATAJIFUNGIA NDANI>>


"Slow down! Y must u rush? don't rush into something u r not ready for. Be patient, at the right time u will achieve it.Don't follow wat others are doin , don't let others pressure u and never let false words deceive u. YOUR ending is greater......" Linah

<<NEXT>>>

 <<NEXT 2>>>

<<NEXT 3>>