Saturday, 4 July 2015

MIKOPO HII INATU...ADHIRISHA NYUMBA YA LADY JAY DEE KUPIGWA MNADA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI LA MKOPO..BOFYA HAPA UJIONEE YALIYOMKUTA..


Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada.

Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar yake ya M.O.G imefungwa muda sasa.

Tumuombee Anaconda maana anapita kwenye wakati mgumu sana sasa hivi

Chachu Ombara/ Jamii Forums

DAAAAAH...HII NI HATARIII WEMA AVUKA MIPAKA SASA...MPYAAAA!!! WEMA NA VAN VICKER KUMBE WALINONIINO??? KWELI UBUNGE HAFAI. PICHA ZAVUJA.INGIA HAPA


1:<<<BONYEZA HAPA>>>

2:<<<BONYEZA HAPA>>>

3:<<<BONYEZA HAPA>>>

3:<<<BONYEZA HAPA>>>

DAAAAH HATARIII....Mwigizaji wa Bongo Movies Esha Buheti Akiri Kuchepuka Nje ya Ndoa


Mwigizaji Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake.

Akizungumza na na gazeti la Ijumaa, Esha aliweka wazi hisia zake kuwa kwa sasa ana kifaa kipya chenye hadhi na amekuwa akitupia picha zake mitandaoni kisha anazitoa.

“Najua wambeya watataka kumchunguza mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka mtandaoni kisha nafuta harakaharaka,” alisema Esha.

Esha alifunguka kuwa, pamoja na ‘kidumu’ alichonacho bado yuko kwenye ndoa yake na anamheshimu mumewe aliyezaa naye mtoto mmoja.

HIII SASA NI BALAHAA...JOSE Chameleone Aahidi Kumpiga Jeki Wema Kwenye Safari yake ya Kuwania Ubunge, JIONEE MAZUNGOMZO LIVE....

Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.

“S/O to my bro Jchameleone kwa kuonesha support pale inshallah atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:

Friday, 3 July 2015

DIAMOND AKIRI KUWA ANAMPENDA SANA... Omotola wa Nigeria,Jionee...

Omotola
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde

Kwa mujibu wa chanzo kilichoambatana na Diamond katika ziara ya kimuziki iitwayo ‘Nana Tour’ nchini humo, staa huyo ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mjasiamali maarufu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amekuwa akiumizwa na penzi la Omotola kitambo sana lakini hakuwahi kuzungumza katika vyombo vya habari.

Diamond Platnumz

  • “Diamond ana maumbo yake flani hivi amazing ambayo huwa anayapenda, siku nyingi sana kabla hata hajakutana na Zari, alikuwa akituambia watu wake wa karibu kwamba miongoni mwa wanawake mastaa ambao anawatamani awaweke kwenye himaya ya penzi lake ni Omotola.



  • “Alisema anampenda kwa kila kitu kuanzia ufanyaji kazi wake, umbo lake na hata umaarufu mkubwa alionao ndani na nje ya Bara la Afrika,” kilisema chanzo hicho.


Baada ya chanzo hicho kueleza habari hiyo, mapema wiki hii, mtandao wa nigeriafilms.com ulithibitisha maneno hayo kwa kuposti habari iliyobainisha Diamond anampenda Omotola sanjari na mastaa wengine wawili wa Nigeria anaovutiwa nao kimapenzi.

Akiwa hewani alipokuwa akihojiwa na redio moja jijini Lagos, Diamond aliweka bayana kuwa anateswa na penzi la mastaa watatu Nigeria, Omotola, Tonto Dikeh na Genevieve Nnaji.


  • “Jamaa kitambo sana anateswa na penzi la Omotola sasa leo kaongeza na wengine wawili na ninavyomjua hashindwi kufanya kweli ingawa nina wasiwasi kwa Omotola na Tonto maana wana waume zao labda ajiweke kwa Genevieve ambaye hajaolewa,” kilikazia chanzo chetu.


Diamond hakupatikana ili kusikia kauli yake juu ya ishu hiyo.

DAIMOND AONESHA LIVE JINSI ANAVYO MPENDA ZARI HIZI NDIYO PICHA YA WALIVYOFUMANIWA


http://uncut-tz.blogspot.com/2014/12/xclusivee-picha-za-diamond-na-zari.html

1:<<<BONYEZA HAPA>>>

2:<<<BONYEZA HAPA>>>

3:<<<BONYEZA HAPA>>>

3:<<<BONYEZA HAPA>>>

HII NDIO MPYA ILIYOJIRI KUHUSU ZARI..INATIA HURUMA SANA KWA HIKI KILICHOMTOKEA ZARI NA MIMBA YAKE BOFYA HAPA KUJUA UTAMWONEA HURUMA





Tell us how Zari looks with her Pregnant

<<<NEXT 1>>>

<<<NEXT 2>>>

<<<NEXT 3>>